Tuesday, April 23, 2013

1
CHADEMA WAFANYA KUFURU, WAUTEKA MJI WA IRINGA LEO

umati mkubwa wa wananchi waliofika kusikiliza mkutano wa Chadema Leo Iringa mjini
katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa akihutubia umati mkubwa wa wananchi wa jimbo la Iringa mjini katika uwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa leo
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini akiwapungia mkono wananchi waliojipanga barabarani kuwapongea wabunge wa Chadema na katibu mkuu wa Chama hicho leo
Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi akiwahutubia wananchi jimbo la Iringa mjini
Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika akiwahutubia wakazi wa jimbo la Iringa mjini leo
mbunge wa jimbo la Ilemela mkoani Mwanza , Highness Kiwia
katibu mkuu wa Chadema Dkt Slaa (kushoto) akiwa na mbunge wa jimbo la Ubungo Jonh Mnyika katika mkutano wa wabunge wa chadema waliofukuzwa bungeni leo katika uwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa

Tupe Maoni Yako( Usiandike Matusi )

1 comment:

  1. Mbona matukio haya yote ni ya mzee wa matukio Daima umeshindwaje kueleza chanzo kuwa mzee wa matukio daima ,waweza kufikishwa mahakamani kwa wizi

    ReplyDelete